Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngushi atimkia Mashujaa FC

Ngushi Tresss.jpeg Ngushi atimkia Mashujaa FC

Fri, 12 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo ndani ya Coastal Union, Crispin Ngushi (25) amejiunga na Mashujaa kama mchezaji huru.

Baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo ndani ya Coastal Union, Crispin Ngushi (25) amejiunga na Mashujaa kama mchezaji huru. Mkataba wake na Young Africans umemalizika na amesaini mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Mashujaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live