Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NgaoYaJamii: Azam FC yaizamisha Singida Fountain Gate FC

Dube Sopu Azam 0016 Azam FC yaizamisha Singida Fountain Gate FC

Sun, 13 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 90 za mtanange wa kusaka mshindi wa wa tatu wa michuano ya Ngao Ya Jamii zimemalizika katika dimba la Mkwakwani Tanga kwa wanalambalamba kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Mabao ya Singida FG yamefungwa na Prince Dube dakika ya 1 na Abdul Suleimani 'Sopu' dakika ya 41.

Hivyo rasmi Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu wa michuano ya Ngao Ya Jamii 2023 Tanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: