Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar njiapanda huko Qatar

Neymar Masjd Neymar

Fri, 25 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Soka wa PSG na timu ya Taifa ya Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior maarufu zaidi kama “Neymar” anasadikika huenda akazikosa mechi zijazo za michuano ya Fainali za Kombe la Dunia huko Qatar.

Sababu itakayomsibu mchezaji huyo kukosekana katika mechi zijazo inatokana baada ya kupata Majeraha ya Ankle katika sehemu ya Mguu wake wakati wa mechi iliyochezwa Novemba 24, 2022 kati ya Timu anayeitumikia ya Brazil VS Serbia na kumfanya ashidwe kabisa kuendele na mchezo huo katika dakika za mwishoni.

Licha ya yote Timu ya Brazil iliibuka na Ushindi mnono wa jumla ya goli 2-0 dhidi ya mpinzani wake pindi dakika 90 za mchezo huo kukamilika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live