Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar kuikosa Copa America 2024

Neymar Copa America 2024 Neymar kuikosa Copa America 2024

Wed, 20 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambualiaji wa Kimataifa wa Brazil Neymar Jr atakosa michuano ya Copa America 2024 kutokana na majeraha yatakayomueka nje hadi mwezi Agosti 2024, amethibitisha daktari wa Brazil Lasmar.

Mshambualiaji wa Kimataifa wa Brazil Neymar Jr atakosa michuano ya Copa America 2024 kutokana na majeraha yatakayomueka nje hadi mwezi Agosti 2024, amethibitisha daktari wa Brazil Lasmar. Hili ni pigo kubwa kwa Mashabiki wa Brazil kuelekea Michuano hiyo mikubwa ya Bara la Amerika Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live