Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar ashangazwa na hali ya Uwanja Azadi (+Video)

Neymar Al Hial Sm Neymar

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa PSG ambaye kwa sasa anakipiga katika ‘timu’ ya Al-Hilal ameshangazwa na baada ya kuona hali ya uwanja wa Azad kutoka nchini Iran, wakati ‘klabu’ yake ikijianda kuingia dimbani na ‘timu’ ya Nassaji Mazandaran FC katika mchezo wa ‘Ligi’ ya Mabingwa ya Asia (AFC).

Video hiyo imesambaa kupitia mtandao wa X ikionesha watengenezaji wa uwanjwa wakiweka nyasi katika zege kitendo ambacho kilimshangaza mchezaji huyo na kuandika kuwa “hii haiwezekani” ambapo alimalizia kwa emoji ya kucheka.

Tazama Video hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live