Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar aonesha hamu yake kunyakua Kombe la Dunia

Neymar Simu World Cup Neymar aonesha hamu yake kunyakua Kombe la Dunia

Mon, 5 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Neymar anaonekana kuwa na ndoto za kubeba Kombe la Dunia mwaka huu zinazopigwa nchini Qatar.

Neymar ameonekana akiwa ameweka Wallpaper ya Kombe hilo kwenye simu yake. Brazil leo itajitupa uwanjani kuchuana na Korea kwenye hatua ya 16 Bora.

Brazil ni miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kunyakua Ubingwa huo mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live