Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar aomba kufanyiwa Upasuaji Brazil tu

Templates.png Neymar aomba kufanyiwa Upasuaji Brazil tu

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Al Hilal na timu ya Taifa ya Brazil Neymar Jr ambae anakabiliwa na majeraha kwa sasa ameomba afanyiwe upasuaji nchini Kwao Brazil chini ya usimamizi wa daktari mkuu wa timu ya taifa ya Brazil.

Winga wa Al Hilal na timu ya Taifa ya Brazil Neymar Jr ambae anakabiliwa na majeraha kwa sasa ameomba afanyiwe upasuaji nchini Kwao Brazil chini ya usimamizi wa daktari mkuu wa timu ya taifa ya Brazil. Kinachosubiriwa kwa sasa ni ruhusa rasmi kutoka kwa waajiri wake klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia kutoa ruhusa juu ya jambo hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live