Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar afanyiwa upasuaji Brazil

Neymar Surgery Brazil Neymar afanyiwa upasuaji Brazil

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Al Hilal na Timu ya Taifa ya Brazil Neymar Jr alifanyiwa upasuaji wa cruciate ligament mapema leo asubuhi.

Staa wa Al Hilal na Timu ya Taifa ya Brazil Neymar Jr alifanyiwa upasuaji wa cruciate ligament mapema leo asubuhi. Upasuaji huo ulifanywa na daktari wa timu ya Brazil, Rodrigo Lasmar. Operesheni ilifanikiwa na hakuna changamoto iliyojitokeza wakati wa zoezi hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live