Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar Jr kufanyiwa upasuaji

Neymar Jr Injuryy Neymar Jr kufanyiwa upasuaji

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Brazil, Neymar Santos amedokeza jeraha alilopata juzi dhidi ya Uruguay kuwa linahitaji upasuaji.

Neymar alitolewa katika mchezo huo baada ya kuumia kifundo cha mguu, ambapo Brazil ilipoteza mabao 2-0.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Neymar amesema: “Sio rahisi kupata majeraha na kufanya upasuaji na unafanya hivyo ikiwa miezi minne tu baadaye.”

Neymar amesema kwa sasa anahitaji sapoti ya familia yake na marafiki pengine muhimu zaidi kuliko ilivyowahi kuwa kwenye nyakati zingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live