Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar Jr anavyowaburuza Vini Jr na Rodrygo

Neymar Vini Rodry Neymar Jr anavyowaburuza Vini Jr na Rodrygo

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hizi hapa takwimu za mawinga wa Brazil, Neymar, Vinicius na Rodrygo wote enzi Wana miaka 22 kwenye timu yao ya taifa.

Neymar Jr akiwa na miaka 22

33 goals

22 assists

Kumbuka Neymar Jr akiwa na umri huo huo wa miaka 22 alikua ameshafanya haya yafuatayo akiwa na Fc Barcelona akitokea Santos

Alikua ameshacheza mechi- 328

Alikua ameshafunga Mabao- 191

Alikua ameshatoa Assists 100

Yaani ndani ya mechi 328 alihusika kwenye magoli 291

Rodrygo Akiwa na miaka 22

4 goals

1 assist

Vinícius Jr Akiwa na Miaka 22

3 goals

4 assists

Halafu anatokea mjinga mjinga mmoja anakwambia Neymar Jr bishoo tu hajui mpira. Ukimwondoa Messi Ronaldo hakuna mchezaji mwingine mwenye uwezo mkubwa uwanjani wa kufunga kuchezesha timu na kutoa pasi za magoli kama Neymar Jr

Kwa karne hii hakuna mchezaji mwenye kipaji halisi kama Neymar Jr huyu bishoo analijua ball sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live