Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neymar Jr ainunua hukumu ya Dani Alves

Neymar Alves (1).jpeg Neymar Jr ainunua hukumu ya Dani Alves

Sat, 24 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vyanzo kutoka nchini Brazil na Spain vinaarifu kuwa Mchezaji wa klabu ya Al Hilal Saudi raia wa Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior amelinunua deni la mchezaji wa zamani wa Klabu ya FC Barcelona, Dani Alves aliyehukumiwa kifungo Cha miaka 4 na nusu.

Alves alihukumiwa juzi nchini Hispania mara baada ya kukutwa na hatia ya Makosa ya unyayasaji kingono.

Alves mbali na kufungwa jela anatakiwa alipe kiasi Cha €150K, Neymar Jr amelinunua deni Hilo na atalitoa yeye mwenyewe ndani ya masaa 72 yajayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live