Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Newcastle wana jambo lao EPL, waichapa Chelsea

C3EBA1E1 34FB 4F74 9739 C6060374443D.jpeg Mfungaji wa bao pekee la Newcastle United

Sun, 13 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la mshambuliaji wa England, Joseph George Willock dakika ya 67 jana liliipa Newcastle United ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea FC Uwanja wa St. James' Park Jijini Newcastle upon Tyne.

Bao pekee la mshambuliaji wa England, Joseph George Willock dakika ya 67 jana liliipa Newcastle United ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea FC Uwanja wa St. James' Park Jijini Newcastle upon Tyne. Kwa ushindi huo, Newcastle United inafikisha pointi 30 katika mchezo wa 15 na kusogea nafasi ya tatu, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 21 za mechi 14 nafasi ya nane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live