Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Newcastle safari yao yaishia Makundi UEFA

NEWCASTLE Eliminated Newcastle safari yao yaishia Makundi UEFA

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Newcastle United imekuwa Timu ya pili kutoka Ligi Kuu England baada ya Manchester United kusukumizwa nje ya michuano ya Ulaya baada ya kumaliza mkiani mwa kundi F huku Barcelona, Atletico Madrid, Dortmund, PSG, Porto, Lazio zikitinga hatua ya 16 bora.

KUNDI E

Atletico Madrid 2-0 Lazio

Celtic 2-1 Feyenoord

Msimamo: E

Atletico (14)

Lazio (10)

Feyenoord (6)

Celtic (4)

KUNDI F

Dortmund 1-1 Paris SG

Newcastle 1-2 Milan

Msimamo: F

Dortmund (10)

PSG (8)

AC Milan (8)

Newcastle (5)

KUNDI H

Antwerp 3-2 Barcelona

Porto 5-3 Shakhtar

Msimamo: H

Barcelona (12)

FC Porto (12)

Shakhtar (9)

Antwerp (3)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live