Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Newcastle kushangaza watu Dirisha la usajili

Leonardo Bonucci Leonardo Bonucci

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Newcastle United inafikiria kuwashangaza watu kwenye usajili wa dirisha hili kwa kumsajili beki wa kati wa Juventus, Leonardo Bonucci, 36, kwa ajili ya kuongeza uzoefu kwenye kikosi.

Newcastle United inafikiria kuwashangaza watu kwenye usajili wa dirisha hili kwa kumsajili beki wa kati wa Juventus, Leonardo Bonucci, 36, kwa ajili ya kuongeza uzoefu kwenye kikosi. Bonucci ni miongoni mwa mabeki wenye uzoefu mkubwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, hivyo inaaminika kwamba uwepo wake utaongeza kitu kwenye kikosi cha Newcastle msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live