Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Newcastle kumpiga bei Allan Saint-Maximin

Maximmin Allan Saint-Maximin

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabosi wa Newcastle United wamepanga kukubali ofa ya moja wapo ya timu kutoka Saudi Arabia ili kumuuza winga wao wa kimataifa wa Ufaransa, Allan Saint-Maximin, 26, katika dirisha hili.

Mabosi wa Newcastle United wamepanga kukubali ofa ya moja wapo ya timu kutoka Saudi Arabia ili kumuuza winga wao wa kimataifa wa Ufaransa, Allan Saint-Maximin, 26, katika dirisha hili. Vigogo hawa wanataka kumuuza Maximin ili kuongeza pesa itakazozitumia kukamilisha usajili wa winga wa Leicester City ambayo imeshuka daraja msimu uliopita, Harvey Barnes, 25 na inahitajika zaidi ya Pauni 40 milioni ili kuuzwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live