Nyota wa Soka Nedum Onuoha amefunguka kuhusu huzuni yake ya kumpoteza mama yake wakati wa uchezaji wake na kufichua majuto yake ya kuwa Mchezaji bora na sio Mtoto Bora.
Onuoha anaelezea mama yake, Dk Anthonia Onuoha ambaye pia alikuwa wakala wake kama mtu muhimu zaidi katika maisha yake na anasema kifo chake kutokana na saratani mwaka wa 2012 kilikuwa pigo kali ambalo liharibu career yake.
kabla ya kifo chake, Dk Anthonia alikuwa akijadiliana kuhusu uhamisho wa mkopo kwa Onuoha kwenda Sunderland kutoka Manchester City na katika barua pepe kwa klabu, alisema:
"Ninasumbuliwa na saratani, lakini sina kichaa au kupoteza akili."kutokana na maamuzi hayo.