Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndimbo aula CAF mechi ya Yanga vs CR Belouizdad

NdimbozAs C .jpeg Ndimbo aula CAF mechi ya Yanga vs CR Belouizdad

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Habari na Mawasiliano TFF, Clifford Mario Ndimbo ameteuliwa na CAF kuwa Ofisa Habari wa mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Young Africans (Tanzania) vs CR Belouizdad (Algeria) utakaochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa Februari 24, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live