Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndemla aongezwa Taifa Stars

FB IMG 1663326901202 Ndemla aongezwa Taifa Stars

Fri, 16 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa SBS, Said Ndemla ameongezwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kitakachocheza mechi mbili za kirafiki nchini Libya.

Kiungo wa SBS, Said Ndemla ameongezwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kitakachocheza mechi mbili za kirafiki nchini Libya. Kocha Mkuu wa Stars, Hanour Janza amethibitisha kumuongeza Ndemla kutokana na ubora aliouonyesha kwenye siku za hivi karibuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live