Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndemla agoma kwenda Azam FC

Said Ndemla Hamis Said Said Ndemla

Wed, 21 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Singida Fountain Gate FC Said Hamis Ndemla amefuta uvumi uliokuwa umeenea kwamba yuko mbioni kujiunga na Azam FC

Aidha kiungo huyo amesema mpaka sasa amepokea ofa nyingi kutoka klabu mbali mbali za Ligi kuu lakini yeye bado ana mkataba wa mwaka moja na klabu yake.

Ukiacha Azam klabu zingine ambazo zinahusishwa kutaka kumsajili ni JKT Tanzania na Mtibwa Sugar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: