Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndege ya kifahari iliyompeleka Neymar Saudi Arabia

Neymar Rtsss Ndege ya kifahari iliyompeleka Neymar Saudi Arabia

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huu ndio muonekano wa ndani ya Ndege ambayo iliagizwa na Mwanamfalme wa Saudi, Al Waleed Bin Talal kumfuata Neymar kutoka Paris kuelekea Riyadh.

Ndege hiyo aina ya Boeing 747 ina thamani ya pauni milioni 172 na inamilikiwa na Mwanamfalme huyo.

Ikiwa ni moja ya ndege zinazoongoza kwa ufahari duniani, ndege hiyo ina meza ya kulia chakula yenye viti 14 , masofa na vyumba kadhaa vya kulala, ilitumwa kumchukua Neymar na msafara wake tu , bila malipo yoyote.

Nyota huyo wa Brazil aliyetokea PSG alipokelewa Saudi kifahari na kutambulishwa rasmi katika uwanja wa King Fahd Jumamosi iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live