Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nayemar acha tu apewe maua yake

Neymar 22 Nayemar acha tu apewe maua yake

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Neymar Jr akiwa na miaka 22 tayari alikuwa ameshahusika na zaidi ya mabao 50 akiwa na jezi ya Brazil, moja na kipaji bora kabisa kuwahi kutokea Brazil ila kuna vitu vidogo sana vinamuangusha na kuonekana kama hayuko makini na soka.

Takwimu zake zinazidi nyota wengi ambao wanainukia katika soka la Brazil kwa sasa.

Kipaji alichokuwa nacho Neymar wengi walitarajia kumuona katika "level" za Pele na Maradona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live