Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nassor Saadun bado yupo sana Azam FC

Azam 00 Nassor Saadun bado yupo sana Azam FC

Thu, 5 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imethibitisha kumsainisha kiungo mshambuliaji Nassor Saadun Hamoud nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026.

Klabu ya Azam FC imethibitisha kumsainisha kiungo mshambuliaji Nassor Saadun Hamoud nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026. Mkataba wa awali wa Saadun ulikuwa utamatike mwisho wa msimu huu lakini sasa ataendelea kudumu klabuni hapo mpaka Juni 2026.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live