Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nassor Kapama, Form is Temporary but Class is Permanent

Nassoro Kapama Nassor Kapama, Form is Temporary but Class is Permanent

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nassoro Kapama versetile player, kuna haja ya kuishukuru Kagera sugar kumuachia mchezaji huyu kujiunga na Simba.

Nassoro ni fundi haswa na anakupa machaguo tofauti Uwanjani kuanzia eneo la ulinzi mpaka idara ya ushambuliajia japokuwa hakuanza vyema maisha yake ndani ya Simba na wengine wakakebehi usajili wake.

Tumpe heshima yake baada ya Mwalimu Robertinho kufanya substution ya kumuingiza pale Kati mchezo wa jana dhidi ya Ihefu palikuwa imara sana timu ilitulia katikati anastahiki heshima yake katika mchez ule.

Kadri nnavyozidi kumtazama miguu yake namuona ndiye mrithi sahihi wa Erasto edward Nyoni ndani ya Kikosi Cha Lunyasi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live