Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Napoli yaikosa Michuano ya Ulaya

Napoli Bingwa Italy.jpeg Wachezaji wa Napoli

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waliokuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Italia msimu uliopita klabu ya SSC Napoli haitashiriki mashindano yoyote ya ulaya msimu ujao.

Waliokuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Italia msimu uliopita klabu ya SSC Napoli haitashiriki mashindano yoyote ya ulaya msimu ujao. SSC Napoli wamekutana na mkasa huo mara baada ya kumaliza ligi katika nafasi ya 10 na hii inatajwa huenda ikawafanya baadhi ya nyota wao muhimu kuondoka kikosini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live