Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Napoli wapokea kichapo cha kwanza Serie A

Edin Dzeko Goal Mfungaji wa bao pekee la ushindi, Edin Dzeko

Thu, 5 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Napoli imepokea kichapo cha kwanza cha msimu kwenye Ligi kuu Italia baada ya bao la Edin Dzeko kuipatia Inter Milan alama zote tatu katika dimba la San Siro Jana Januari 4.

Klabu ya Napoli imepokea kichapo cha kwanza cha msimu kwenye Ligi kuu Italia baada ya bao la Edin Dzeko kuipatia Inter Milan alama zote tatu katika dimba la San Siro Jana Januari 4. Napoli ambao wameanza msimu huu kwa kasi ya ajabu wanabaki kileleni mwa msimamo wa Serie A wakiwa na alama 41 baada ya michezo 16 wakifuatiwa na AC Milan wenye alama 36 baada ya michezo 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live