Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Napoli, Potter bado hakijaeleweka

Graham Potter No Plans.jpeg Graham Potter

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Napoli ya nchini Italia imeonyesha nia ya kumuajiri kocha wa kimataifa wa England Graham Potter ili kuwafundisha mabingwa hao watetezi wa Serie A.

Klabu ya Napoli ya nchini Italia imeonyesha nia ya kumuajiri kocha wa kimataifa wa England Graham Potter ili kuwafundisha mabingwa hao watetezi wa Serie A. Tatizo ni kuwa kocha huyo wa zamani wa Brighton na Chelsea anaamini anaweza kuchukua mikoba ya kocha wasasa wa Manchester United Erik ten hag endapo ataondoka (muda wowote).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live