Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nani kunyakua Tuzo mchezaji Bora wa Mwaka EPL?

KDB DD Kiungo wa Man City, Kevin De Bruyne

Fri, 26 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Ligi Kuu ya England EPL ikielekea ukingoni, Mchezaji yupi anastahili kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Premier wa msimu?

Orodha ya wanaotajwa kuwania Tuzo hiyo ni kama ifuatavyo,

1. Harry Kane - Tottenham

2. Kevin De Bruyne - Man City

3. Erling Haaland - Man City

4. Marcus Rashford - Man United

5. Kieran Trippier - New Castle

6. Bukayo Saka - Arsenal

7. Martin Odegaard - Arsenal

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: