Wed, 24 Jul 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Klabu ya Simba itafanya tamasha lao la Simba Day, Agosti 3, 2024 na Agosti 4, 2024 Yanga SC watafanya tamasha lao la wiki ya Mwananchi ikiwa ni kilele.
Simba ndiyo timu kongwe Yaani mwaanzilishi wa Tamasha hilo lenye historia kubwa.
Simba msimu huu wako na kauli mbiu ya (UBAYA UBWELA) na Kwa upande wa Yanga ni (NYIE HAMUOGOPI).
Je, ni ipi kati ya kauli hizo hizo imefunika mwenzake?
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: