Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nani anastahili Ballon d'Or msimu huu?

Bellingham Vini.jpeg Nani anastahili Ballon d'Or msimu huu?

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kumalizika kwa msimu wa 2023/24, miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri katika Vilabu vyao na wanaopigiwa upatu zaidi kushinda tuzo ya Ballon D’Or, ni Vinicius Jr, Jude Bellingham na Harry Kane.

Vini na Bellingham wameashinda Kombe la La Liga pamoja na Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya huku harry kane akiwa mfungaji bora Barani Ulaya baada ya kufunga magoli 8 katika Ligi ya Mabingwa na magoli 36 katika ligi ya Bundasliga.

Mchezaji gani unampa nafasi zaidi kushinda tuzo ya Ballon D’Or msimu huu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live