Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo yashiriki mazishi ya Dereva alifariki katika ajali ya Mashabiki

Namungo Mazishi.jpeg Namungo yashiriki mazishi ya Dereva alifariki katika ajali ya Mashabiki

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viongozi, benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa Namungo FC leo Septemba 27 mchana wameshiriki kwenye maziko ya aliyekuwa dereva wa basi la mashabiki wa Namungo FC, Ramadhan Ungele lililopata ajali Septemba 20, 2023 mkoani Lindi wakiwa wanakwenda Dar es salaam kushuhudia mechi ya Yanga na Namungo uwanja wa Azam Complex.

Viongozi, benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa Namungo FC leo Septemba 27 mchana wameshiriki kwenye maziko ya aliyekuwa dereva wa basi la mashabiki wa Namungo FC, Ramadhan Ungele lililopata ajali Septemba 20, 2023 mkoani Lindi wakiwa wanakwenda Dar es salaam kushuhudia mechi ya Yanga na Namungo uwanja wa Azam Complex. "Marehemu Ramadhan Ungele alifariki dunia siku ya Jumatatu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu," imeeleza taarifa ya Namungo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live