Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo wapokea kichapo mchezo wa kwanza Ligi Kuu

IMG 5391 Namungo.jpeg Namungo ilikubali kichapo cha bao 1-0

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la Martin Kigi dakika ya 43 limeipa mwanzo mbaya Namungo FC nyumbani baada ya kuchapwa 1-0 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live