Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo wana rekodi nzuri uwanja wa nyumbani - Farhan Jr

Namungo Wana Rekodi Nzuri Uwanja Wa Nyumbani   Farhan Jr Namungo wana rekodi nzuri uwanja wa nyumbani - Farhan Jr

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uchambuzi wa Mbrazil kwenye maeneo tofauti tofauti kuelekea mchezo wa Yanga dhidi ya Namungo hapo kesho.

“Namungo ana rekodi nzuri sana, mechi nne za mwisho wakiwa uwanja wa nyumbani matokeo yao ni mazuri na advantage yao kubwa ni wapinzani kusafiri kwa umbali mrefu lakini Yanga wao wamesafiri kwa ndege.

“Namungo dhidi ya Yanga mechi 5 za mwisho hajashinda mechi yoyote na hii inaonesha kwamba Yanga ana rekodi nzuri dhidi ya Namungo ushindi mechi nne na sare mechi moja.

“Unapoingia kwenye mechi na wewe sio favorite maana yake unaenda kutumia resources zote ulizonazo ili upate matokeo.

“Ubora wa Namungo upo kwa Pius Buswita ambaye ana magoli matano hadi sasa hivi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live