Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo waichapa Kagera Sugar Uwanja wa Majaliwa

IMG 9098.jpeg Namungo waichapa Kagera Sugar Uwanja wa Majaliwa

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Ibrahim Abdallah dakika ya 31 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.

Bao pekee la Ibrahim Abdallah dakika ya 31 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Namungo FC inafikisha pointi 23 katika mchezo wa 19 na kupanda nafasi ya saba, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake 23 za mechi 20, ikishukia nafasi ya tisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: