Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo waanza sare Mapinduzi Cup

Chipukizi Vs Namungo mchezo ulimalizika kwa sare ya bila kufungana

Thu, 5 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Namungo FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Chipukizi katika mchezo wa Kundi D Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Timu ya Namungo FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Chipukizi katika mchezo wa Kundi D Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Sasa Namungo FC watalazimika kushinda mechi ya mwisho dhidi ya Aigle Noir ya Burundi keshokutwa ili kuangalia nafasi ya kwenda Nusu Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live