Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo Watangaza Makocha Wapya

NAMUNGO123.png Namungo Watangaza Makocha Wapya

Fri, 31 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Namungo imetangaza benchi jipya la ufundi la klabu hiyo. Imemtambulisha Hanour Janza ambaye ni raia wa Zambia kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo akisaidiwa na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye atakuwa kocha msaidizi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live