Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo, Singida waondoka na rekodi zao Ligi Kuu

Namgungo Vs Singida Namungo, Singida waondoka na rekodi zao Ligi Kuu

Sat, 23 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu za Namungo na Singida Big Stars ndio vinara wa kupiga mashuti (Mipira) ambayo haijalenga lango mpaka sasa baada ya michezo mitatu.

Timu hizo kila moja zimepiga mipira 26 ambayo haijalenga lango.

Namungo wamepiga mipira 13 iliyolenga lango na wamefanikiwa kufunga bao moja tu.Huku Singida wamepiga mipira 12 iliyolenga lango na wameambulia bao moja tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: