Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo FC yaivurumisha Kagera Kombe la Shirikisho

Namungo FC Yaivurumisha Kagera Kombe La Shirikisho.jpeg Namungo FC yaivurumisha Kagera Kombe la Shirikisho

Wed, 3 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Namungo FC imefanikiwa kuivurumisha Kagera Sugar kwa mikwaju ya penalti, mchezo wa Kombe la Shirikisho uliopigwa jana Aprili 2, 2024.

Namungo FC imefanikiwa kuivurumisha Kagera Sugar kwa mikwaju ya penalti, mchezo wa Kombe la Shirikisho uliopigwa jana Aprili 2, 2024. Mchezo huo ni wa hatua ya 16 Bora na sasa Namungo amefanikiwa kusonga mbele hatua inayofuata. FT: Namungo FC 0-0 Kagera Sugar (penati 5-3).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live