Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namungo FC yaisurubu AS Vita Club

Kichuya Qs Vita Namungo FC yaisurubu AS Vita Club

Sat, 29 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jana Ijumaa, Julai 28, 2023, jioni umepigwa mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24, kati ya Wauaji wa Kusini, Namungo FC dhidi ya miamba ya Congo DR, AS Vita Club katika dimba la Black Rhino Academy Karatu.

Bao pekee la kiungo Frank Domayo limewapatia The Southern Killers ushindi wa 1-0.

FT: Namungo FCZ1-0 AS Vita.

AS Vita ambao wameweka Kambi ya siku 14 nchini Tanzania kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao, wanatarajia kucheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania, Yanga Sc hivi karibuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live