Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namba za Aucho zinatisha, amsogelea Aziz Ki

Khalid Aucho Kkkk.jpeg Namba za Aucho zinatisha, amsogelea Aziz Ki

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho ameendeleza kuonesha uwezo wake mkubwa katika ligi Kuu Tanzania Bara.

Aucho ambaye ni raia wa Uganda amekuwa mchezaji wa tatu kwa kuwa na assists nyingi tangu ajiunge na Young Africans ndani ya misimu miwili.

Hii ni baada ya kutoa assist kwenye mchezo wa dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba SC katika bao la pili alilofunga Joseph Guede.

◉ 58 — Mechi

◉ 02 — Mabao

◉ 10 — Assists

Assists nyingi za ligi kwa wachezaji wa Young Africans tangu msimu wa 2021/22 .

◎ 11 ─ Stephane Aziz Ki

◎ 11 ─ Jésus Moloko

◉ 10 ─ Khalid Aucho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live