Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nahodha Mamelodi kuwakosa Yanga kwa Mkapa

Themba Zwane Out Nahodha wa Mamelodi Sundowns, Themba Zwane

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha na Kiungo wa kushambulia wa Mamelodi Sundowans, Themba Zwane ataukosa mchezo wa kwanza wa robo fainali ya CAF Champions dhidi ya Yanga SC, kwasababu ana kadi tatu (3) za njano.

Michezo ambayo amepata hizo kadi ni;-

TP Mazembe 1-0 Mamelodi, Dec 02, 2023. Pyramids FC 0-1 Mamelodi, Dec 19, 2023. Mamelodi 1-0 TP Mazembe, March 02, 2024.

Kwa mujibu wa Kanuni za mashindano ya CAF Champions League, kadi za njano tatu (3) zinahesabika hata kama mchezaji amepata kadi hizo kwenye michezo isiyofuatana na Themba Zwane amepata kadi hizo kwenye michezo isiyofuatana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: