Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nahodha Ivory Coast aonesha heshima kwa Cheikh Tiote

Gradel X Tiote Nahodha Ivory Coast aonesha heshima kwa Cheikh Tiote

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa timu ya Taifa ya Ivory Coast Max Gradel (36) alitoa heshima kwa marehemu Cheick Tioté wakati wa gwaride lao la ubingwa wa kombe la AFCON 2023 siku ya Jumatatu.

Tioté alifariki Juni 5, 2017 huko Beijing, China baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo akiwa mazoezini.

Wawili hao walikuwa sehemu ya kikosi cha Ivory Coast kilichotwaa ubingwa wa AFCON 2015.

Kama angekuwepo, Tioté angekuwa na umri wa miaka 37.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live