Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nahodha Ivory Coast aaga kwa kilio

Maxi Gradel Nyota wa timu ya Taifa ya Ivory Coast Max-Alain Gradel

Sun, 24 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa timu ya Taifa ya Ivory Coast Max-Alain Gradel (36) jana Machi 23 amecheza mechi yake ya mwisho akiwa na uzi wa Taifa hilo.

Alianza kuitumikia Ivory Coast tangu mwaka 2010 na sasa anastaafu soka lake la Kimataifa.

Captain amemwaga machozi, miaka 14 akiwa na uzi wa The Elephants ni thamani kubwa kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live