Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Naeymar ndiye mchezaji aliyechezewa rafu nyingi zaidi

Naeymar Msacj Naeymar

Fri, 25 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Neymar ndiyo mchezaji aliyechezewa rafu nyingi zaidi mpaka sasa kwenye michuano ya Kombe la Dunia Qatar 2022.

Staa huyo wa Brazil amechezewa madhambi zaidi ya mara tisa (9) dhidi ya Serbia. Dakika ya 79 Neymar ametolewa kwenye mchezo huo kufuatia majeraha ya ankle.

Kwa mujibu wa daktari wa timu, Rodrigo Lasmar Wabrazil watalazimika kusubiria saa 24 hadi 48 kufahamu hatma ya majeraha ya nyota huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live