Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nado nje miezi tisa, Daktari wa timu athibitisha (+Video)

Azama Nado Pic Data Kiungo wa Azam FC, Iddi Selemani "Nado" atakosa sehemu ya msimu wa ligi iliyobaki

Wed, 15 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni kama tayari amekwishauaga msimu wa 2021/2022. Ndivyo unavyoweza kusema kwa kiungo hatari wa Azam FC iddi Nado ambae majeraha aliyoyapata yatamuweka nje kwa muda wa miezi tisa.

Taarifa hiyo imetolewa na Azam FC, baada ya kupata majibu ya uhakika kutoka kwa wataalamu na sasa Nado yuko nchini Afrika ya Kusini akipatiwa matibabu.

Nado aliumia katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar Novemba 30 katika mchezo walioibuka na ushindi wa bao 1-0.

Sikiliza kilichosemwa na Azam FC

View this post on Instagram

A post shared by Azam Football Club (@azamfcofficial)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live