Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi mambo magumu Morocco

Nabi Tres Kocha Nabi

Sun, 29 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mambo si mazuri kwa Kocha Nasredinne Nabi anaonekana kutokuwa na mwendo mzuri nchini Morocco.

Baada ya mechi 6, yuko katika nafasi ya 6 baada ya kushinda mechi 3, sare 2 na kupoteza moja.

FAR Rabat ndio mabingwa watetezi na Nabi alijiunga nayo akitokea Yanga baada ya kufanya vizuri kwa misimu miwili mfululizo.

Alitolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na sasa Mambo si mazuri kwenye Ligi Kuu ya Moroccoo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: