Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi kwa Aziz Ki ahakikishe hafanyi makosa

Aziz Ki Yanga Hat Kiungo Stephen Aziz Ki

Fri, 14 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"People who have a sense of self-efficacy bounce back from failure; they approach things in terms of how to handle them rather than worrying about what can go wrong”

Maneno hayo yalizungumzwa mwaka 1977 na mwanasayansi na professor wa Canada Albert Bandura, yakimaanisha

Ili mchezaji wa mpira awe na ufanisi binafsi (self efficiency) anahitaji hali ya kujiamini (self Confidence) hata uwe mzuri vipi kama huna Confidence sahau kufanya vizuri kiwanjani.

Miguu ya Aziz Ki ina kipaji kikubwa sana "great talent is at his feet" anaweza kufanya chochote kwenye "ZONE 14" amebarikiwa kila kitu mguuni, ana control ya karibu, anajua jinsi ya ku-scan nafasi, anaweza ku-switch mashambulizi, anaweza kupiga mashuti ya mbali na karibu, ni mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa, pia anaweza kupiga killer passes za kutosha.

Hizo sifa zote zinamfanya kuwa namba 10 bora na wa kisasa.

Hii hali iliyomkuta ni ya kawaida sana kila mchezaji anaweza kupoteza confidence na kiwango chake kushuka lakini hawezi kupoteza daraja lake. Form is temporary class is permanent

Kuelekea mechi ya Derby na Robo fainali Ya CAF Yanga, wanamuhitaji huyu namba 10 kwani anaweza kufanya malengo yao yatimie na kocha Nabi amelijua hilo na kuamuwa kumtafutia confidence.

Alimpanga mechi dhidi ya Kagera na akafunga, hilo limetosha kumjengea kitu kuelekea mchezo wa Dabi.

Kutoanza na Aziz Ki huyu alietoka kufunga mabao matatu kunaweza kuweka ugumu katika mchezo wao dhidi ya mtani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live