Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi humwambii kitu kwa kitasa hiki cha kazi Yanga

Bacca X Nabi Nabi asifu Kiwango, juhudi za Kitasa hiki

Wed, 12 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Yanga, Nasridenne Mohammed Nabi ameshtushwa na kukuoshwa na Kazi ya maana anayoifanya kitasa chipukizi Ibrahim Abdullah "BACCA"

Nabi alisema Bacca ameonyesha uimara mkubwa sana tangu aannze kumpa nafasi na amemtaka aendelee kubaki katila muendelezo wa kiwango chake huku akiwataka na wenzake pia kujipanga haswa.

Unaona sasa tuna wigo mpana wa kuchagua nani aanze pale kwa mabeki wa kati ila kwangu mimi Bacca amekuja vizuri sana. Kaonyesha uwajibikaji mkubwa katika mechi nilizompa nafasi.

"Kazi kubwa anayofanya Bacca ni dalili njema ya mambo matamu yanayokuja kwa mashabiki wa Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live