Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi amuombea ulinzi Mayele Yanga

MAYELE SAIDOOO Nabi amuombea ulinzi Mayele Yanga

Mon, 7 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kazi ya Fiston Mayele katika ufungaji mabao msimu huu imemuibua kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ambaye ameweka wazi kuwa staa huyo amekuwa na wakati mgumu akikamiwa na wapinzani na kuomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa michezo kumlinda.

Tangu amejiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu huu, Mayele amekuwa wa moto ambapo kabla ya mchezo wa jana dhidi ya Geita Gold, tayari alikuwa amehusika kwenye mabao 12 ya Yanga kwenye Ligi Kuu Bara pekee akifunga mabao tisa na kuasisti mara tatu.

Mayele jana Jumapili alitarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Geita Gold, uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kocha Nabi alisema: “Ni kweli tunakubaliana na ukweli kwamba ligi ya msimu huu ina ushindani mkubwa na kila timu inapambana kuhakikisha inafanya vizuri na kupata pointi katika kila mchezo wanaocheza, lakini kuna wakati vita hizi za uwanjani zimekuwa zikisababisha majeraha yasiyo na ulazima kwa baadhi ya wachezaji muhimu.

“Kwa mfano kwetu mchezaji kama Mayele amekuwa akichungwa sana na walinzi wa wapinzani na kusababisha wakati mwingine awe katika wakati mgumu na hatari ya kupata majeraha ambayo yanaweza kuwa pigo kwetu, hivyo nadhani litakuwa jambo jema kama mamlaka Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, ushindi huo umeifanya Polisi Tanzania kufikisha pointi 22 zinazowaweka katika nafasi ya saba ya msimamo (kabla ya mchezo wa Geita Gold vs Yanga, jana Jumapili).

Kwenye mchezo huo, Metacha alionyesha kiwango bora na kufanikiwa kutoruhusu bao yaani ‘Clean sheet’, ambapo hii inakuwa Clean Sheet yake ya sita ndani ya Polisi Tanzania msimu huu. Akizungumza na Championi Jumatatu, kocha Malale alisema:

“Ulikuwa mchezo mzuri na mgumu kwetu hususan kwa kuwa tulikuwa na wachezaji wengi ambao walikuwa majeruhi, lakini jambo la muhimu ni kuwa tumefanikiwa kupata pointi tatu muhimu.

“Pia napenda kumpongeza kipa wangu Metacha Mnata ambaye ni wazi alikuwa kwenye kiwango bora Jumamosi, na naweza kusema bila yeye ingekuwa vigumu kupata ushindi.”

Metacha atajwa kipigo cha Azam KOCHA mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya ushindi wao wa juzi Jumamosi dhidi ya Azam ni ubora mkubwa aliokuwa nao kipa wao, Metacha Mnata katika kuokoa hatari zilizoelekezwa golini kwao.

Juzi Jumamosi Polisi zinazosimamia michezo zikahakikisha zinalinda wachezaji sio wa Yanga tu, bali wa timu zote.” Nabi ametoa kauli hiyo Yanga ikiwa ina wachezaji wengi majeruhi akiwemo Saido Ntibazonkiza, Khalid Aucho, Jesus Moloko, Yacouba Songne na Crispine Ngushi huku Djuma Shabaan akisumbuliwa na Malaria.

Yanga ambao wanaongoza ligi kwa pointi 42 kabla ya mchezo wa jana Jumapili dhidi ya Geita Gold, wakifuatiwa na Simba wenye pointi 34, wamepania kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu uliotwaliwa na Simba kwa misimu minne mfululizo.

“Hali imekuwa mbaya na inatisha kwa upande wetu kwa sababu ya kuongezeka kwa idadi ya wachezaji majeruhi kitu ambacho kimekuwa kinavuruga matarajio na mipango yetu kutokana na majeruhi kuongezeka kwa sababu ya timu kucheza kwa kukamia jambo ambalo siyo salama kwa wachazaji wenyewe,” aliongeza Nabi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live