Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi aendeleza moto Morocco

Nabi Machozi Kiume Nabi aendeleza moto Morocco

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi ameendelea kuonesha makali yake katika ligi kuu nchini Morocco baada ya kuiongoza AS FAR Rabat kushinda 3-1 dhidi ya Renaissance Zamamara.

AS FAR Rabat inashika nafasi ya pili ikiwa na pointi 7 nyuma ya RS Berkane wenye pointi 09 katika mechi 03 zilizochezwa mpaka sasa.

Mechi 03 Ushindi 02 Droo 01 Pointi 07.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: