Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi aanza kulalamika Afrika Kusini

Nabi Kaizer Ms Nabi aanza kulalamika Afrika Kusini

Mon, 12 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi amesema kuwa vilabu vya nchini Afrika Kusini vimekuwa vikikataa kuwauzia wachezaji timu hiyo.

nabi ambaye amewahi kuifundisha Yanga SC kwa mafanikio makubwa amesema kuwa huenda huo ni mpango mkatati wa vilabu vya Afrika Kusini kuidhoofisha Kaizer.

"Vilabu vingi vya Afrika kusini havitaki kuuza wachezaji kwa Kaizer Chiefs sielewi kwanini?wako tayari kuuza wachezaji kwa vilabu vingine vya hapa lakini sio kwetu sisi Kaizer Chiefs.

"Labda ni mbinu au chuki dhidi yetu lakini ni ngumu mno kusajili wachezaji kutoka katika vilabu vya hapa ligi kuu Afrika Kusini," amesema Nabi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live